mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 798
nimesikia biashara ya pweza ni nzuri hasa kwa watu kama sisi ambao kimsingi bado tunawategemea wazazi inatosha sana kukusaidia kupta mtaji wa kuanzisha biashara nyingn
kama upo vizuri nitafurahi ukiniambia kwa kina ukigusia zadi maeneo haya
1,mtaji wa kuanzia kununulia kila kitu?
2. faida kwa siku?
3. ukimuajiri mtu unaweza kumlipa vipi?
4.je ipo haja ya kuwa na mkataba kati yako na muajiriwa?
5.upatikanaji wa maeneo umeakaje?
6.vipi kuhusu usumbufu wa city unaukabili vipi?
na mengn mengi