Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 480
- 413
Mkuu naweza kuja PM naona umefunga1.Mashine yako iko dar sehem gani
2.Malengo ya mashine yako ni kuwasagia watu mahindi au unasaga sembe yako
3.Soko lako ulilolenga ni lipi na wapi
4.Mahindi unanunua toka wapi na una mtaji wa gunia ngapi
5.Msimamizi wa biashara ni wewe mwenyewe au umemuweka mtu
6.Jengo ni la kukodi au ni lako
Njoo pm tujadiliane zaidi maana me niko kwenye hii industry na hivi karibuni naenda kufungua kinu kingine Chalinze.
HAIWEZEKANI KUKUTUMIA DM, MAHINDI NACHUKUA MANZESE, NINA MSIMAMIZI, JENGO KUKODI1.Mashine yako iko dar sehem gani
2.Malengo ya mashine yako ni kuwasagia watu mahindi au unasaga sembe yako
3.Soko lako ulilolenga ni lipi na wapi
4.Mahindi unanunua toka wapi na una mtaji wa gunia ngapi
5.Msimamizi wa biashara ni wewe mwenyewe au umemuweka mtu
6.Jengo ni la kukodi au ni lako
Njoo pm tujadiliane zaidi maana me niko kwenye hii industry na hivi karibuni naenda kufungua kinu kingine Chalinze.
HAIWEZEKANI KUKUTUMIA DM, MAHINDI NACHUKUA MANZESE, NINA MSIMAMIZI, JENGO KUKODI
Mkuu sina uzoefu na hii biashara ila nilishawahi kulima.HAIWEZEKANI KUKUTUMIA DM, MAHINDI NACHUKUA MANZESE, NINA MSIMAMIZI, JENGO KUKODI
Nasikia Manga kunalimwa sana mahindi na mwezi huu ndo yanaanza kushuka bei.Mkuu sina uzoefu na hii biashara ila nilishawahi kulima.
Kwa ushauri ungepata sehemu vijijini unanuna mahindi na kuyaleta Dar ni nafuu mfano
Miaka 2 iliyopita Gunia moja la mahindi lilikua ukilitoa Manga kijiji cha kwanza ukiingia Tanga hadi manzese ni tsh 7000 hii usafiri. Bunju walikua wanafanya 5000
Yeah! Kule wanalima sana kwa mwaka, misimu miwili. Kipindi hiki yanashuka sanaNasikia Manga kunalimwa sana mahindi na mwezi huu ndo yanaanza kushuka bei.
Upo sahihi mkuu.Yeah! Kule wanalima sana kwa mwaka, misimu miwili. Kipindi hiki yanashuka sana
Naam! Sasamtoa mada angekuwa Anaenda vijijini huko anachukua mzigo wa kutosha ni nafuuUpo sahihi mkuu.
Kuna jamaa mmoja yupo maeneo yale anadai kwasasa bei imesimamia 6000 debe.
Kwani kaka mtaji wake sh ngapi km unataka kuanza kabisa1.Mashine yako iko dar sehem gani
2.Malengo ya mashine yako ni kuwasagia watu mahindi au unasaga sembe yako
3.Soko lako ulilolenga ni lipi na wapi
4.Mahindi unanunua toka wapi na una mtaji wa gunia ngapi
5.Msimamizi wa biashara ni wewe mwenyewe au umemuweka mtu
6.Jengo ni la kukodi au ni lako
Njoo pm tujadiliane zaidi maana me niko kwenye hii industry na hivi karibuni naenda kufungua kinu kingine Chalinze.
Kaka naomba mawasiliano yako1.Mashine yako iko dar sehem gani
2.Malengo ya mashine yako ni kuwasagia watu mahindi au unasaga sembe yako
3.Soko lako ulilolenga ni lipi na wapi
4.Mahindi unanunua toka wapi na una mtaji wa gunia ngapi
5.Msimamizi wa biashara ni wewe mwenyewe au umemuweka mtu
6.Jengo ni la kukodi au ni lako
Njoo pm tujadiliane zaidi maana me niko kwenye hii industry na hivi karibuni naenda kufungua kinu kingine Chalinze.
Hata mjini mbona unafunga ila business plan yako inabadilika kutoka kwenye kusaga videbe kwenda kwenye kupack sembe, ni biashara nzuri sanaHizo mashine inapendeza ukifunga maeneo ya vijijini
Nicheki kwenye 0636642415Kaka naomba mawasiliano yako