Biashara ya kusafirisha wanyama kutoka mikoani

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Wadau,

Mwenye uzoefu na hii biashara si vibaya akatupatia ushauri hapa jamvini kuhusu yafuatayo:
1) Unasafirisha wanyama gani? ( Mbuzi, ng'ombe, kondoo, kuku, nguruwe ?)
2) Je, unawatoa mkoa gani hapa Tanzania bara?
3) Je, ni vibali gani vinahitajika ili kuepuka usumbufu njiani?
4) Je, soko lako ni ndani au nje ya nchi?

Asanteni sana.
 
piga 0757 95 27 96 atakujuza habari za biashara ya ng'ombe kila kitu atakueleza juu ya nibal nk anatoa shy to dar every week.
 
Salam wakuu,

Naifuatilia hii thread... Naomba kama umepata data zaidi tujulishe mkuu

Majibu ya maswali yako yakoje (kama ulivyoshauriwa na mataalam)

Asante!
 
Bado mkuu sijapata muda wa kumuulizia jamaa. Nipo bize na kilimo cha bamia kwenye hizi mvua za vuli, ila nikiongea nae nitaweka mambo yote hapa jamvini.
Salam wakuu,

Naifuatilia hii thread... Naomba kama umepata data zaidi tujulishe mkuu

Majibu ya maswali yako yakoje (kama ulivyoshauriwa na mataalam)

Asante!
 
Back
Top Bottom