Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,360 Reaction score 108,504 May 6, 2021 #21 daisyvicky said: Hata simjui mkuu,hii picha nmetumiwa na mtu tulikua tunadiscuss hii isue Niulizie basi details kwa mr Baraka Click to expand... Mtafute umuulize, Namba hii: 0763075749 Page ya biashara hii chini, na picha uliyoiweka yaonekana hapo pia... Sent using Jamii Forums mobile app
daisyvicky said: Hata simjui mkuu,hii picha nmetumiwa na mtu tulikua tunadiscuss hii isue Niulizie basi details kwa mr Baraka Click to expand... Mtafute umuulize, Namba hii: 0763075749 Page ya biashara hii chini, na picha uliyoiweka yaonekana hapo pia... Sent using Jamii Forums mobile app
daisyvicky JF-Expert Member Joined Sep 22, 2012 Posts 343 Reaction score 198 May 6, 2021 Thread starter #22 Watu8 said: Mtafute umuulize, Namba hii: 0763075749 Page ya biashara hii chini, na picha uliyoiweka yaonekana hapo pia...View attachment 1775382 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukran sana,nafanya hivo now now
Watu8 said: Mtafute umuulize, Namba hii: 0763075749 Page ya biashara hii chini, na picha uliyoiweka yaonekana hapo pia...View attachment 1775382 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukran sana,nafanya hivo now now
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,360 Reaction score 108,504 May 6, 2021 #23 daisyvicky said: Mkuu unaweza kutuelezea zaidi? Click to expand... Layered photoghraphy ni mbinu tu ya kuunganisha zaidi ya picha moja (mbili na kuendelea) ili upate picha moja yenye taarifa nyingi... Jaribu ku google utapata shule zaidi mkuu kwa sababu utaona na mifano halisi ya namna picha inakuwa Sent using Jamii Forums mobile app
daisyvicky said: Mkuu unaweza kutuelezea zaidi? Click to expand... Layered photoghraphy ni mbinu tu ya kuunganisha zaidi ya picha moja (mbili na kuendelea) ili upate picha moja yenye taarifa nyingi... Jaribu ku google utapata shule zaidi mkuu kwa sababu utaona na mifano halisi ya namna picha inakuwa Sent using Jamii Forums mobile app
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,360 Reaction score 108,504 May 6, 2021 #24 Kurunzi said: Okey nimekusoma so ni graphics designed photo sio? , Click to expand... Bila shaka, kwa sababu ukitazama unaona kabisa ina objects zilizopangwa lakini zimepangwa kistadi ili picha iwe ya kuvutia... Sent using Jamii Forums mobile app
Kurunzi said: Okey nimekusoma so ni graphics designed photo sio? , Click to expand... Bila shaka, kwa sababu ukitazama unaona kabisa ina objects zilizopangwa lakini zimepangwa kistadi ili picha iwe ya kuvutia... Sent using Jamii Forums mobile app
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,175 Reaction score 11,573 May 6, 2021 #25 Watu8 said: Bila shaka, kwa sababu ukitazama unaona kabisa ina objects zilizopangwa lakini zimepangwa kistadi ili picha iwe ya kuvutia... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa
Watu8 said: Bila shaka, kwa sababu ukitazama unaona kabisa ina objects zilizopangwa lakini zimepangwa kistadi ili picha iwe ya kuvutia... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa