Biashara ya kupokea wageni ya bnb

Biashara ya kupokea wageni ya bnb

Hebu tusaidie elimu kidogo hii inaendaje?
Siyo bnb.

Ni Airbnb.

Ulivyoandika tu nimejua hufahamu sana kuhusu Airbnb.

Binafsi nimekuwa napokea wageni kwenye apartment ninayoishi kupitia Airbnb zaidi ya mwaka sasa.

Nipo namwingiliano sana na wageni kwahiyo I know a lot about this business model.

Baadhi wana-book sehemu yangu for months

Check this

View attachment 1176905
 
Dunia inaenda kasi kweli, sikuhizi wanaotoa huduma ya taxi hawamiliki taxi hata moja wanaotoa huduma ya kulala hawana jengo hata moja
 
Back
Top Bottom