ABDALLAH AMOUR
Member
- May 12, 2009
- 25
- 35
- Thread starter
-
- #21
MUNGU ATUBARIKI SOTE KWA NIA ZETU SAFI IN SHA ALLAH , HAKIKA UNAPOMTENDEA MJA JEMA MOJA BASI MUNGU HUKULIPA MEMA KUMI, TUENDELEE KUTENDEANA YALIYO MEMANimekupenda sana kwa kutokuwa na uchoyo, hii tabia umeionyesha hapa ndiyo watanzania wote wanatakiwa kujifunza na kuwa na moyo wa namna hiyo, naamini Mungu atakubariki sana Mkuu
ni kama hoteli nyingineIyo biashara ndio inakuja kueneza ufirauni wa mzungu vizuri kila kitu wanacho kianzisha kina sababu zake subri uone yatakuja mapunga ya kizungu mengi ni mi dollars kazi ya kumtukuza shetani inaanzia hapo vizur.
Yaani unashusha bei kuliko competition na kutoa huduma bora kuliko competition ?picha za sehemu yako na bei unaweza ukaaangalia kwa wale wenzako ambao wameshaanza, bei zao zikoje nawe ushushe kidog kwa ajili ya kuvutia wateja pamoja na kuboresha huduma za ziada kama breadfast iwe ya maana na iwe ya kiafrika zaidi yaani kwa vyakula ambavyo kwa wageni ni adimu kupatikana katika nchi zao.
oky safi....full ujasiriamaliSiyo bnb.
Ni Airbnb.
Ulivyoandika tu nimejua hufahamu sana kuhusu Airbnb.
Binafsi nimekuwa napokea wageni kwenye apartment ninayoishi kupitia Airbnb zaidi ya mwaka sasa.
Nipo namwingiliano sana na wageni kwahiyo I know a lot about this business model.
Baadhi wana-book sehemu yangu for months
Check this
View attachment 1176905
Hii huko Moshi na Arusha ni ya muda mrefu hasa kipindi kama hiki cha high peak season cha utalii.Siyo bnb.
Ni Airbnb.
Ulivyoandika tu nimejua hufahamu sana kuhusu Airbnb.
Binafsi nimekuwa napokea wageni kwenye apartment ninayoishi kupitia Airbnb zaidi ya mwaka sasa.
Nipo namwingiliano sana na wageni kwahiyo I know a lot about this business model.
Baadhi wana-book sehemu yangu for months
Check this
View attachment 1176905
Mimi nikajua mgeni anaechukua chumba kimoja anapata bed na breakfast tu kwenye bei anayolipa na kwamba kama ana familia au wenzake kama amechukua apartment au nyumba yote anaweza kujinunulia mahitaji yake ya vyakula na wakawa wanajipikia wenyewe, kukaa sebuleni na pia kuosha vyombo kama vile wapo nyumbani kwao. Kingine hivi unapofanya booking ya hizo airbnb kwa mtandao si gharama inaweza kuwa juu kidogo tofauti na kama mtu unazijua zilipo na ukaenda kuongea na wenyeji wake moja kwa moja na kupata punguzo la bei?Siyo bnb.
Ni Airbnb.
Ulivyoandika tu nimejua hufahamu sana kuhusu Airbnb.
Binafsi nimekuwa napokea wageni kwenye apartment ninayoishi kupitia Airbnb zaidi ya mwaka sasa.
Nipo namwingiliano sana na wageni kwahiyo I know a lot about this business model.
Baadhi wana-book sehemu yangu for months
Check this
View attachment 1176905
khy mzee unapga hela tuuDownload travelo app list maeneo ya vivutio wakaribishe watu na watawasiliana na wew then wakija utawapa makazi na kuwa tour guide wao this thing is for real maana rd kwa hii app ni moja ya sehemu ambazo zinaingia Kwenye challenge every week
Iyo biashara ndio inakuja kueneza ufirauni wa mzungu vizuri kila kitu wanacho kianzisha kina sababu zake subri uone yatakuja mapunga ya kizungu mengi ni mi dollars kazi ya kumtukuza shetani inaanzia hapo vizur.