ABDALLAH AMOUR
Member
- May 12, 2009
- 25
- 35
KAKA HAKUNA A WALA B WALA C KILA KITU KIKO WAZI JENGA NYUMBA AU VIJUMBA NA KAMA UNA ENEO ZURI AMBALO LINAVUTIA KIDOGO BASI UMESHAMALIZA SHUGHULI ILA KWA KUANZIA NINI UFANYE UNAWEZA UKAINGIAKWENYE WEBSITES HIZI www.airbnb.com NA www.bookings.com UKAANGALIA JINSI AMBAVYO WAJASIRIAMALI WENZAKO WALIVYOJIPANGA JUU YA HII BIASHARA NAWE UKAPATA PA KUANZIA, KAKA INATOA SANA HII BIASHARA NA NINAONGEA KWA UZOEFU KWANI KUNA WATU AMBAO NAWAJUA WANAFANYA NA IMEWATOA SANAMoja ya ndoto zangu nikufungua hii biashara ,hapa ktk huu Uzi utanisadia kupata A,B,C
NIPO DAR KAKAUpo wapi ndugu Abdala ?
OK nakuelewa je hakuna haja ya kuwa na nyumba au vijumba maeneo ya karibu na airport? au mjini?KAKA HAKUNA A WALA B WALA C KILA KITU KIKO WAZI JENGA NYUMBA AU VIJUMBA NA KAMA UNA ENEO ZURI AMBALO LINAVUTIA KIDOGO BASI UMESHAMALIZA SHUGHULI ILA KWA KUANZIA NINI UFANYE UNAWEZA UKAINGIAKWENYE WEBSITES HIZI www.airbnb.com NA www.bookings.com UKAANGALIA JINSI AMBAVYO WAJASIRIAMALI WENZAKO WALIVYOJIPANGA JUU YA HII BIASHARA NAWE UKAPATA PA KUANZIA, KAKA INATOA SANA HII BIASHARA NA NINAONGEA KWA UZOEFU KWANI KUNA WATU AMBAO NAWAJUA WANAFANYA NA IMEWATOA SANA
Ok nitakutafuta kwa ushauri zaidiNIPO DAR KAKA
KARIBUOk nitakutafuta kwa ushauri zaidi
HAPANA NYUMBA AU VIJUMBA MAENEO YOYOTE SI LAZIMA IWE KARIBU N AIRPORT KWANI KUNA BNB MPAKA GOBA KAKA NA NYINGINE KIGAMBONI CHA MSINGI UPATE ENEO ZURI LENYE USALAMA LINALOFIKIKA VIZURIOK nakuelewa je hakuna haja ya kuwa na nyumba au vijumba maeneo ya karibu na airport? au mjini?
Maana kuna BNB moja maeneo ya mikocheni ,nilivyouliza nikaambiwa ikiwa Karibu na hivyo vitu ni nzuri zaidi
Ahsante kwa ufafanuzi huuHAPANA NYUMBA AU VIJUMBA MAENEO YOYOTE SI LAZIMA IWE KARIBU N AIRPORT KWANI KUNA BNB MPAKA GOBA KAKA NA NYINGINE KIGAMBONI CHA MSINGI UPATE ENEO ZURI LENYE USALAMA LINALOFIKIKA VIZURI
Hahahaha ,safi SanaNa subscribe kwa matumizi ya baadae
Tunajifunza na kupata fursaHahahaha ,safi Sana
Tunajifunza na kupata fursa
Ok. Utakuwa umepata uzoefu kwa kiasiSawa sawa
Hii kitu kuna Jirani yetu mmoja kule maeneo Fulani anaifanya ,ndio nilijuilia hapo ,hapa sasa napata mwanga zaidi
unachotakiwa kufanya ni kujenga au kama tayari unayo sehemu ambayo unaweka ukatumia kama kianzio cha biashara yako, na kujisajili katika mitandao ya wageni kama www.airbnb,com na www.booking.com unaweka picha za sehemu yako na bei unaweza ukaaangalia kwa wale wenzako ambao wameshaanza, bei zao zikoje nawe ushushe kidog kwa ajili ya kuvutia wateja pamoja na kuboresha huduma za ziada kama breadfast iwe ya maana na iwe ya kiafrika zaidi yaani kwa vyakula ambavyo kwa wageni ni adimu kupatikana katika nchi zao.
.