Biashara ya kupokea wageni ya bnb

Biashara ya kupokea wageni ya bnb

Joined
May 12, 2009
Posts
25
Reaction score
35
Ndugu wanajamvi, nimefuatilia kwa muda mrefu sana maudhui ya hii biashara ya kupokea wageni toka pande mbalimbali za dunia. kwa hakika ni biashara ambayo haina stress kabisa, cha msingi kujitangaza na kujiweka karibu na wageni ulimwenguni kupitia mitandao ambayo ndio kiungo kikuu cha mawasiliano kati yako na mgeni.

Nimeangalia sana kwa badhi ya wafanyabiashara ambao tayari wako sokoni kwa hii biashara , inaonekana kama kuna unafuu mkubwa katika kuiendesha na hata udhibiti wake wa hali ya juu kwani unajua wageni wanaoingia na kutoka katika sehemu yako.

unachotakiwa kufanya ni kujenga au kama tayari unayo sehemu ambayo unaweka ukatumia kama kianzio cha biashara yako, na kujisajili katika mitandao ya wageni kama www.airbnb,com na www.booking.com unaweka picha za sehemu yako na bei unaweza ukaaangalia kwa wale wenzako ambao wameshaanza, bei zao zikoje nawe ushushe kidog kwa ajili ya kuvutia wateja pamoja na kuboresha huduma za ziada kama breadfast iwe ya maana na iwe ya kiafrika zaidi yaani kwa vyakula ambavyo kwa wageni ni adimu kupatikana katika nchi zao.

natanguliza shukrani zako kwa wanajamvi kwa muktadha huo wa biashara nagalau tujitahidi kupambana na hali ngumu za maisha kwa wakati huu tulionao.
 
Moja ya ndoto zangu nikufungua hii biashara ,hapa ktk huu Uzi utanisadia kupata A,B,C
KAKA HAKUNA A WALA B WALA C KILA KITU KIKO WAZI JENGA NYUMBA AU VIJUMBA NA KAMA UNA ENEO ZURI AMBALO LINAVUTIA KIDOGO BASI UMESHAMALIZA SHUGHULI ILA KWA KUANZIA NINI UFANYE UNAWEZA UKAINGIAKWENYE WEBSITES HIZI www.airbnb.com NA www.bookings.com UKAANGALIA JINSI AMBAVYO WAJASIRIAMALI WENZAKO WALIVYOJIPANGA JUU YA HII BIASHARA NAWE UKAPATA PA KUANZIA, KAKA INATOA SANA HII BIASHARA NA NINAONGEA KWA UZOEFU KWANI KUNA WATU AMBAO NAWAJUA WANAFANYA NA IMEWATOA SANA
 
OK nakuelewa je hakuna haja ya kuwa na nyumba au vijumba maeneo ya karibu na airport? au mjini?

Maana kuna BNB moja maeneo ya mikocheni ,nilivyouliza nikaambiwa ikiwa Karibu na hivyo vitu ni nzuri zaidi
 
HAPANA NYUMBA AU VIJUMBA MAENEO YOYOTE SI LAZIMA IWE KARIBU N AIRPORT KWANI KUNA BNB MPAKA GOBA KAKA NA NYINGINE KIGAMBONI CHA MSINGI UPATE ENEO ZURI LENYE USALAMA LINALOFIKIKA VIZURI
 
Ahsante kwa ufafanuzi huu
 
Sawa sawa

Hii kitu kuna Jirani yetu mmoja kule maeneo Fulani anaifanya ,ndio nilijuilia hapo ,hapa sasa napata mwanga zaidi
Ok. Utakuwa umepata uzoefu kwa kiasi
Nitakutafuta kule kwenye uzi wetu
 
V-wonder vidogo vidogo ngoja tutumie fursa, asante mkuu kwaku share na sisi jambo hili zuri.
 
unachotakiwa kufanya ni kujenga au kama tayari unayo sehemu ambayo unaweka ukatumia kama kianzio cha biashara yako, na kujisajili katika mitandao ya wageni kama www.airbnb,com na www.booking.com unaweka picha za sehemu yako na bei unaweza ukaaangalia kwa wale wenzako ambao wameshaanza, bei zao zikoje nawe ushushe kidog kwa ajili ya kuvutia wateja pamoja na kuboresha huduma za ziada kama breadfast iwe ya maana na iwe ya kiafrika zaidi yaani kwa vyakula ambavyo kwa wageni ni adimu kupatikana katika nchi zao.
.

Nimekupenda sana kwa kutokuwa na uchoyo, hii tabia umeionyesha hapa ndiyo watanzania wote wanatakiwa kujifunza na kuwa na moyo wa namna hiyo, naamini Mungu atakubariki sana Mkuu
 
Pia kuna mtandao unaitwa couchsurfing.com, hii apa ukitaka uenjoy verify account yako japokuwa sio lazima.
 
Back
Top Bottom