Biashara ya Kukodisha Gari

Biashara ya Kukodisha Gari

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,000
Reaction score
9,981
Jambooooooo

naitaji mawazo au ushauri kidogo, nina gari yangu aina ya Rav 4 hizi kili time 5 doors
ipo tu imekaa home sasa nilikuwa nataka kujua kama kuna mtu anaconection ya wale jamaa ambao huwa wanakodisha magari kwa matumizi then tunalipana

kwa yoyote mwenye kujua hii ishu naomba anijulishe nipate mwanga kidogo.
 
Ulipata?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipata? Connection za kutosha zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom