biashara ya kuchana na kuranda mbao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

biashara ya kuchana na kuranda mbao

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by emike, Nov 6, 2011.

 1. e

  emike JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndugu wana jf kwanza nawasalimu wote, mimi ni mjasiria mali mdogo nina nia ya kuanzisha karakana ndogo ya kuchana na kuranda mbao kwenye mji mmoja mdogo mikoani kwa wadau wenye uzoefu naomba ushauri wenu kuhusu biashara hii na ni wapi nitapata mashine nzuri za kisasa, natanguliza shukrani zangu
   
 2. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimefanya biashara ya kuchana na kuranda takribani miaka kumi sasa kama unahitajimashine ni pm jf
   
Loading...