Ndio maana yake !! Either uwe unacheza na border za neighbouring countries au uwe na bank accounts zenye hela za kutosha kwenye nchi kama 5 hivi alaf we umetulia zako office unacheza na internet banking ( Unatoa hela huku unapeleka kule, unatoa hela kule unaleta huku kama mchezo flan wa kitoto hivi Hahahaha ). Mwisho wa siku unavuta kitita chako cha hela swaafi kabisa.
Ebu jaribu hii kaz inaitwa SURE BETS yaan unakuwa na 100% ya kuwin game,unachopaswa kufanya ni kuwa na accounts na makampun tofaut ya kubet,kwa hapa chin naambatanisha link ya ambayo kila siku inatoa top 10 sure bets na makampun husika Sure Bets - Sports Arbitrage, Sure betting | Odds Portal