CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
Hilo linaweza kuwa wazo zuri.Duuuuh. Umetisha mkuu. Ndio maana nakwambia kuna watu through this business wanachota hela na viroba !! Kuna some secret codes behind this business which only a few elite know.
Ila what if mtu ukiwa na bank accounts katika nchi tofauti tofauti specially for running such a business ?? Will it work ??
Hilo linaweza kuwa wazo zuri.
Mnakuwa vichwa viwili - kimoja kinakuwa nchi za nje (mfano South Africa), kingine kinabaki hapa Tz; kazi yenu inakuwa kwenda bank unavuta pesa au unatuma pesa na kwenda ktk Bureau de Change (au bank humo humo) unauza.
Baada ya siku 90 jamaa aliyepo Bondeni anarudi Bongo na aliyekuwa Bongo anaenda Bondeni - mchezo unaendelea.
Katika 50,000,000 mnaingiza hata 2,000,000 kwa siku!
Labda, just thinking aloud!
wewe ndo umepiga pentagoni hasa...hapa ni kufanya crossboarder ndo inakulipa.chukua tsh nunua ush then nunua dola kisha uza kwa ksh then badili ziwe tsh.(mfano tu)Hii kitu nilishajiuliza.
Nikagundua kuwa kwa Bongo humu humu ndani huwezi kupata faida.
Nikaona eti labda kama unaenda kuuza dollar (USD) nchi za nje (mfano South Africa) unapata Rands (ZAR) halafu unazileta Tz kuziuza.
Niligundua hivyo baada ya kuona nikibadili USD zangu hapa Tz na kuwa ktk Rands napata Rands chache ukilonganisha na nikizibadili USD kiasi kilikile huko bondeni (South Africa).
Mfano:
Exchange rate kwa Tz (TZS) ikiwa:
USD - BUY 1,600: SELL 1,625
RAND - BUY 1,85: SELL 200
Kwa South Africa (ZAR) ikiwa:
USD - BUY 9: SELL 11
Fastjet (go & return): Dar - Jo'burg: Takribani 500,000 Tshs
Reference: (https://www.jamiiforums.com/habari-...-mpya-ya-fastjet-from-tz-to-south-africa.html)
Kwa hiyo ukiwa na 48,750,000 Tsh unaweza kununua 30,000 USD (kwa bei ya 1,625 Tshs kwa kila 1 USD).
Unaenda kuziuza hizo 30,000 USD huko South Africa kwa Rands 270,000 (kwa bei ya 9 Rands kwa kila 1 USD)
Unarudi Tz ukiwa na hizo Rands 270,000 halafu unaziuza kwa 185 Tshs kila Rand, unapata 49,950,000 Tshs.
Ukitoa mtaji na gharama ya usafiri kwenda na kurudi unabaki na faida.
Faida ni: 49,950,000 - (48,750,000 + 500,000) = 700,000 kwa siku = 21,000,000 kwa mwezi.
Hata ukisafiri kwa nusu ya siku zote kwa mwezi, tuseme upate faida ya 10,000,000 Tshs kwa mwezi.
Lakini kumbuka:
(1)Kuna sheria na taratibu za kimataifa za kusafirisha pesa. Hapa nd'o palinichanganya kidogo, lkn ninaamini HAPA ND'O UFUNGUO WA HIYO BIASHARA ULIPOKAA (This may be the place where the right key for this business is hidden).
Reference: IATA - International Air Transport Association
(IATA - South Africa Customs, Currency & Airport Tax regulations details)
(2)Kuna madhara ya mionzi kwa wale wanasafiri kwa ndege mara kwa mara (Ionising radiation).
Reference: (ARPANSA - Cosmic radiation exposure when flying)
Mwaga kila kitu hapa kama ni kitu cha kueleweka na si tupige deal hzo. Cha muhimuni ufahamu tu.
wewe ndo umepiga pentagoni hasa...hapa ni kufanya crossboarder ndo inakulipa.chukua tsh nunua ush then nunua dola kisha uza kwa ksh then badili ziwe tsh.(mfano tu)
Wakuu tusidanganyane sana,hii biashara kwa nchi kama Tanzania,uwezi kupata faida!!Nakushahuri fanya biashara nyingine.
Kwa kuanzia uwe na capital ya kiasi gani?Hapana inalipa sana maadamu uwe na capital inayoeleweka. Nimekuwa naifanya hii kazi tangu mwaka jana na ina faida
ame2012 , labda tueleze kwa uzoefu unaifanya kila siku na wewe unafanya cross border au , hii ya cross border nimeipenda hivi hatuwezi kutumia account kufanya huu mchezo lazima kusafiri lets say , mfano kama mtu yupo south na mwingine yupo tanzania na kuna account si mnaweza kufanya
Kwa kuanzia uwe na capital ya kiasi gani?
Mngekuwa mnasugua vichwa namna hii bila matusi basiTanzania ingekuwa mbali.
Endeleeni kufunguka wakuu, naifuatilia hii habari kwa umakini mkubwa.
Mwenye kujua masharti ya kufungua Bureau de Change atujuze
Asante sana, bossman!Masharti ya BOT magumu kidogo kiufupi, kwa mwaka jana minimum capital kwenye account ya company iwe na 40M, ueleze ulivyozipata hizo hela, wamiliki wajulikane, ofisi iwe na ulinzi,cm landline, fax, machine za kuscan dola na sh, kuwe na counta mbili buy and sell. Masharti yanapatikana kwenye tovuti ya B.O.T
Nadhani aujanipata vizuri,wao kama bureau D change wanapata faida tena sana,mdau hapo juu kauliza kama anaweza kununua kwa mfano Dollar kutoka Bureau D change moja na kwenda kuuza sehemu nyingine,je atapata faida??Jibu ni kwamba sehemu kubwa atapata loss(hasara).
Hii kitu nilishajiuliza.
Nikagundua kuwa kwa Bongo humu humu ndani huwezi kupata faida.
Nikaona eti labda kama unaenda kuuza dollar (USD) nchi za nje (mfano South Africa) unapata Rands (ZAR) halafu unazileta Tz kuziuza.
Niligundua hivyo baada ya kuona nikibadili USD zangu hapa Tz na kuwa ktk Rands napata Rands chache ukilonganisha na nikizibadili USD kiasi kilikile huko bondeni (South Africa).
Mfano:
Exchange rate kwa Tz (TZS) ikiwa:
USD - BUY 1,600: SELL 1,625
RAND - BUY 1,85: SELL 200
Kwa South Africa (ZAR) ikiwa:
USD - BUY 9: SELL 11
Fastjet (go & return): Dar - Jo'burg: Takribani 500,000 Tshs
Reference: (https://www.jamiiforums.com/habari-...-mpya-ya-fastjet-from-tz-to-south-africa.html)
Kwa hiyo ukiwa na 48,750,000 Tsh unaweza kununua 30,000 USD (kwa bei ya 1,625 Tshs kwa kila 1 USD).
Unaenda kuziuza hizo 30,000 USD huko South Africa kwa Rands 270,000 (kwa bei ya 9 Rands kwa kila 1 USD)
Unarudi Tz ukiwa na hizo Rands 270,000 halafu unaziuza kwa 185 Tshs kila Rand, unapata 49,950,000 Tshs.
Ukitoa mtaji na gharama ya usafiri kwenda na kurudi unabaki na faida.
Faida ni: 49,950,000 - (48,750,000 + 500,000) = 700,000 kwa siku = 21,000,000 kwa mwezi.
Hata ukisafiri kwa nusu ya siku zote kwa mwezi, tuseme upate faida ya 10,000,000 Tshs kwa mwezi.
Lakini kumbuka:
(1)Kuna sheria na taratibu za kimataifa za kusafirisha pesa. Hapa nd'o palinichanganya kidogo, lkn ninaamini HAPA ND'O UFUNGUO WA HIYO BIASHARA ULIPOKAA (This may be the place where the right key for this business is hidden).
Reference: IATA - International Air Transport Association
(IATA - South Africa Customs, Currency & Airport Tax regulations details)
(2)Kuna madhara ya mionzi kwa wale wanasafiri kwa ndege mara kwa mara (Ionising radiation).
Reference: (ARPANSA - Cosmic radiation exposure when flying)
Bossman, kama ni hivyo mbona kila kukicha haya maduka ndio yanazidi kuongezeka? Kama hawapati faida si wangeshafunga?Wakuu tusidanganyane sana,hii biashara kwa nchi kama Tanzania,uwezi kupata faida!!Nakushahuri fanya biashara nyingine.
Asante sana, bossman!
Turudi kwenye potential risks:
Vipi kuhusu kuporwa cash? Manake mjini hapa kila kukicha majambazi yanafanya kweli.
Vipi kuhusu counterfeit dollars? manake nasikia nyingine hata ukizi-scan kwenye scanning machine haziwi detected?
Shukran bossman kwa details muhimu.Siku zote biashara ya cash ina attract high risk. Biashara hii ina 100% risk but the higher the risk the higher the return. Kuhusu fake Ukiwa na uzoefu ile kuishika tu note fake utaijua,kuipitisha kwenye mashine ni just comfirmatory test. Note iliyo na fake nyingi kwa dola ni 100 lakini wametoa note mpya ambayo fake zake bado zijaziona. Yenyewe ina more security.
Utamu wa hii biashara unakuja pale unapokua na businesses in more than one country (Multi-national) i.e UK, US, South Africa & TZ. Ukijipanga kufanya hiyo michezo unavuta hela nzuri tu. Kuna mzee mmoja wa kichaga namfaham ana bureau nyingi sana mjini hapa na biashara nnje ya nchi i.e US, UK, Dubai & South Africa. Ki ukweli jamaa yuko vizuri mno. Ila ndio hvyo tena mtu hawez kuambia password ya mafanikio yake !!