Biashara ya kokoto

Biashara ya kokoto

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,146
Reaction score
16,999
Ni utaratibu gani natakiwa kufwata ili niweze kuanzisha biashara ya kokoto. Kwa maana ya kufunga KRASHA la kuvunjia mawe.

Utaratibu ni upi huko serekalini?
Mwenye idea na hii kazi naomba uzoefu tafatali.
 
Ngoja waje.
 
Process,
-Uwe na kitalu cha madini ya kokoto
-Uwe na leseni ya uchimbaji madini, kwa wewe unatakiwa uwe na PML, Primary Mining License
-Uwe na leseni ya ukaguzi wa mazingira, NEMC
-Osha
-Leseni ya biashara

Asante
 
Biashara nzuri ila kama una mtaji wa mawazo sikushauri. Kuna wakati Crasher likizingua kiji spare kdgo tu....kipuri chake 15 - 20 M....hujamlipa mechanics afunge hapo. Wanaofanya hizi mambo mara nyingi wana kampuni za ujenzi.

Again kila la kheri.
 
Process,
-Uwe na kitalu cha madini ya kokoto
-Uwe na leseni ya uchimbaji madini, kwa wewe unatakiwa uwe na PML, Primary Mining License
-Uwe na leseni ya ukaguzi wa mazingira, NEMC
-Osha
-Leseni ya biashara

Asante
Ahsante mkuu. Nilikuwa offline kidogo.
 
Back
Top Bottom