RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,733 Reaction score 11,466 Oct 16, 2018 #241 Achana nayo hiyo imeshapitwa na wakati sasa hivi mpaka vijijini watu wanamiliki smartphone, hii biashara mwisho wake ilikuwa 2010 ndio ilikuwa na tija kwa sasa sidhani.
Achana nayo hiyo imeshapitwa na wakati sasa hivi mpaka vijijini watu wanamiliki smartphone, hii biashara mwisho wake ilikuwa 2010 ndio ilikuwa na tija kwa sasa sidhani.