Ukitaka kufanya biashara ya WiFi tumia WiFi management system+vifaa + location nzur hapo umeuaNa hakuna options za kuzuia mtu ku connect mpk wewe uruhusu ? Na kama ana connect hkn options ya kumzuiuki
Unaumwa ww VPN znafungiwa kama Leo zmefingiwa nyingi ww unazisakaNaomba Vpn ya ya Airtel
Nilianza WiFi business Yakuuza mtaani na 370k bas inawezekana niulize Tu kivp1m nyingi hapa naanza na 500k
Alafu mbona VODA tuuu kwani AIRTEL nae vipi si anazile router za 5G mbona haziongelewi hapa wakuuHapo kwenye router+wire+pc, inamaanisha utakuwa na router mbili; yaani ya vodacom kama ISP na ya tp-link kwaajili ya ku control trafic? Ufafanuzi tafadhali.
Asante.
Mmnl
Nilianza WiFi business Yakuuza mtaani na 370k bas inawezekana niuli
Mkuu habari namba yako uliyotoa ya WhatsApp haipatikani nimejitahidi sana hauko hewani.Sasa
Ukitaka kufanya biashara ya WiFi tumia WiFi management system+vifaa + location nzur hapo umeua
Mbona kama mkoje ya utaratibu?Ndugu naomba namba yako
0776371092Naomba namba yako ndugu tuwasiliane
Asante mkuu ila nigependa kuanza iyo biashra kwa ya internet je unakuwa una wakika gan kwamba umepata wateja 64 ndani ya MITA 200 kwa kutumia router mtandao utakuwa sawa haitakusumbua mtandao milele wakati mm kwa uelewa wangu navyojua sana utaweza kuunganisha watu 64 spend inaounguwa kutokana na wezo wa router na modern ulifunga au Kuna binu tofauti Ile uweze kufunga na kuongeza speed kwa kutumia router MojaUnaweza ukacharge kwa BUKU au ukaweka subscription business model kwa kuwacharge kwa siku 30. Unaweza uka apply decoy price kwa kuvuta wateja kwenye gharama kubwa ili upige kibunda kila mwezi, mfano unaweza sema:
1. Kwa siku 1000(Mteja anaona kwa mwezi 30k)
2. Kwa siku 30 weka 20k(Mteja anafanya comparison ya 30k, ko anaona nafuu sana anaish umo)
Kwa kuwavurga uko unajikuta unakunja kibunda kila mwezi kwa wateja kukwepa buku buku za kila siku.
Asante mkuu ila nigependa kuanza iyo biashra kwa ya internet je unakuwa una wakika gan kwamba umepata wateja 64 ndani ya MITA 200 kwa kutumia router mtandao utakuwa sawa haitakusumbua mtandao milele wakati mm kwa uelewa wangu navyojua sana utaweza kuunganisha watu 64 spend inaounguwa kutokana na wezo wa router na modern ulifunga au Kuna binu tofauti Ile uweze kufunga na kuongeza speed kwa kutumia router Moja