neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,860
- 2,149
Habari wakuu,
Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa.
-Kwa nia ya kuongeza ufahamu zaidi; kwa walio na hardaware does it real worth?
-Naomba ushauri mashine gani lazima niwe nazo?
-Mambo muhimu ya kuzingatia kadri navyojipanga
Natanguliza shukrani