Biashara ya Gym mkoani

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,533
13,441
Hbr za majukumu wataalamu wa Biashara.

Huku Kigoma na nafikiri mikoa mingi haina sehemu za kufanyia mazoezi. Nimekuwa na wazo la kufungua hii kitu; ila sina uzoefu kwanza wa biashara kabisa (full time muajiriwa) lkn pia biashara hii (gym). Naamini mahitaji yapo kwa sababu watu wengi wanalalamikia hii kitu including me. Hivyo naomba mwenye uzoefu anisaidie makisio ya mtaji wa kwanza kuacha pango.
Wapi vifaa na machine vyaweza patikana kwa urahisi na bei reasonable.

Pia trend ya hiyo biashara ikoje? Kwa kifupi information yoyote ambaye itasaidia kukuza hili wazo langu!

Hata wadau wanaoishi Kgm mnasemaje, kuhusu hili wazo?

Nashukuru
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom