Biashara ya gesi ya kupikia

Biashara ya gesi ya kupikia

Joined
Sep 22, 2010
Posts
79
Reaction score
7
Ndugu wadau, kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara ya kuuza gesi za kupikia pamoja na vifaa vyake tuwasiliane.

Nimekuwa nikifanya hii biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nikimiliki maduka kadhaa hapa Dar es Salaam. Kuna duka moja dogo lililopo eneo la vingunguti ambapo mbali na gesi pia kuna huduma ya m-pesa, tigopesa na huduma ya kuuza LUKU pamoja na huduma zote kupitia kampuni ya selcom. Hili duka nahitaji kulifunga kutokana na kuwa busy na shughuli nyingine hivyo kukosa muda wa kulisimamia ipasavyo.

Kwa anayehitaji anitumie sms kwa maelezo zaidi.
 
Kaka nitafute kwa 0713 190 118
 
Opportunity nzuri hii mkuu, duka lingekuwa karibu na huku ninakoishi tungewasiliana tuone Uwezekano wa kufanya biashara
 
Kwa kuwa una maduka mengine ya aina hiyo, kwann usihamishe hizo bidhaa na kuzipeleka huko.
 
Ndugu wadau, kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara ya kuuza gesi za kupikia pamoja na vifaa vyake tuwasiliane.

Nimekuwa nikifanya hii biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nikimiliki maduka kadhaa hapa Dar es Salaam. Kuna duka moja dogo lililopo eneo la vingunguti ambapo mbali na gesi pia kuna huduma ya m-pesa, tigopesa na huduma ya kuuza LUKU pamoja na huduma zote kupitia kampuni ya selcom. Hili duka nahitaji kulifunga kutokana na kuwa busy na shughuli nyingine hivyo kukosa muda wa kulisimamia ipasavyo.

Kwa anayehitaji anitumie sms kwa maelezo zaidi.

nitafute hapa"
0653918931
 
Back
Top Bottom