Biashara ya Gesi: Naomba Kupata Ufahamu

Biashara ya Gesi: Naomba Kupata Ufahamu

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
547
Reaction score
347
Heri ya mwaka mpya.

Naomba nisiwe mtu wa maneno mengi. Eneo ninaloishi nimeona kunafursa ya kutoa huduma ya Gesi ninaomba kujua yafuatayo ili niweze kuichangamkia fursa hii.

1. Kwa kuanza nahitajika kuwa na msingi kiasi gani? Mfano ili uwe na Kibanda cha Tigopesa unatakiwa uwe na at least 3mil bank ndo utapata namba ya uwakala na Gas ipo hivo?

2. Mitungi inapatikanaje?

3.Baada ya kuwa na frame ya biashara na leseni za biashara je vitugani vingine vyahitajika ili niweze kuanza?

Naamini kuwa humu kuna watu wanafanya biashara hii naomba muongozo na mie niweze kuanza.

Naomba kuwasilisha.
 
Ushaanzisha biashara mkuu
 
Back
Top Bottom