Biashara ni ngumu sana unahitaji umakini wa hali ya juu, mi nimefanya for Leisure kwa muda wa Mwaka 1.
Nilikua nanunua Tanga nauza pale Arusha.
Unaweza nunua piece 1 kwa laki 1 ukitarajia kuuza kwa milioni au laki 6 mwishoni umefika sokoni unaambiwa unapata laki 1 na ishirini, ama wakati mwingine uambiwe unalipwa elfu themanini
1. Unataka kuchimba kwa kuweka man power?
Sometimes kuna ulaghai mwingi,
2. Unataka kununua kutoka kwa wachimbaji, let's Sapphire, Amethyst, Tourmaline, nk unawezapata Tanga kule Kigwasi na Ng'ombeni, Green garnets Arusha, nyingine wadau watakwambia zinapatikana wapi.
3. Unalenga kuuza soko la ndani au kuuza nje ya nchi?
Ainisha matakwa yako ili waje wanaoifahamu biashara hiyo wakujuze