Biashara ya dawa za binadam kutoka india | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya dawa za binadam kutoka india

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by THOMAS LUTEGO, Mar 17, 2012.

 1. T

  THOMAS LUTEGO New Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikilia kufanya biashra ya dawa za binadam kutoka india hapa nchini , tatizo kubwa sifaham taratibu za vibari pamoja na kanuni za kuingiza mizigo kupitia bandari zetu hapa nchini , naombeni mchango wa mawazo wana JF
   
 2. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Utatakiwa kuwa na mfamasia,kusajili kila dawa utakayo import kama haijasajiliwa na tfda
  pia utatakiwa kua na eneo/mfumo wa utunzaji wa dawa zako na unapaswa kutafuta clearance agent au kampuni itakayoshughulika na uingizwaji mzigo
   
Loading...