Biashara ya dagaa

Biashara ya dagaa

lumanga

Senior Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
114
Reaction score
48
Habar! Jamani kwa wakaz wa kanda ya ziwa naomba kuwashilikisha biashara hii ya dagaa kusafilisha kuleta mikoa ya kanda ya kat kama Tabora, singinda, Dodoma na morongoro. Inalipa baraa. Mi npo moro lakn nimezunguka sana maeneo haya nimeona jins watu wanavyoitaji bidhaa hyo. Nawakumbusha vijana hususa mliopo kanda ya ziwa kuchangamkia fursa hiyo
 
Karbuni kwa maswali au tuwasiliane kupitia 0765445388/0786856588
 
Back
Top Bottom