kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,849
- 3,066
Kwa dar soko lake vp maana naona watu wanapenda dagaa wa mchele mchele
Mkuu hiyo biashara ina lipa lakini mtaji wako mdogo kule znz unanunua kila kg 4500 au 4600 ww huku dar utauza kg 6000Wakuu habari za asubuhi naomba kujua anayefanya biashara ya dagaa wa nyama wale wa Zanzibar vp hapa kwa dar soko lake je wanapendwa? Nikitaka mzigo na chukulia wapi kwa jumla, kwa mtaji wa laki mbili unatosha? Nashukuru
Nashukuru mkuu hivi kidogo siwezi kuanzaMkuu hiyo biashara ina lipa lakini mtaji wako mdogo kule znz unanunua kila kg 4500 au 4600 ww huku dar utauza kg 6000
Mimi nachukulia kwa wavuvi mkuu.... Na hi ndo Bei yake piaUnauzia wapi.. Na ww unaanika au unanua kwa wavuvi mana bei yako kubwa
Gharama za usafiri Ni juu ya mteja mkuu....Nashukuru mkuu nikichukua ndoo moja mpaka dar je usafiri malipo juu ya nani maana me npo dar
Hivi mkuu hawa dagaa dar wanapendwa? Maana naona wanakula sana mchelemchele waleGharama za usafiri Ni juu ya mteja mkuu....
Ni TSH 5000 tuu huo mzigo kutoka tanga Hadi dar...
Mkuu Tanga sehemu gani naweza kuwapataMimi nachukulia kwa wavuvi mkuu.... Na hi ndo Bei yake pia
Bei yake huwa inapanda na kushuka kutokana na upatikanaji
Kama upo tanga unaweza ukawapatia tanga sahare au mwaboza......Mkuu Tanga sehemu gani naweza kuwapata
Wanapendwa piaHivi mkuu hawa dagaa dar wanapendwa? Maana naona wanakula sana mchelemchele wale
Mkuu kuna tofauti kati ya dagaa wa nyama na Uduvi na je kwa Tanga gunia la Uduvi linaenda bei gani?Kama nikoTanga Uduvi wanapatikana wapi kwa wingi?Wanapendwa pia
Mkuu hapo juu nimekuuliza swali kwa Tanga wapi nitapata Uduvi kwa bei nafuu?Msaada kidogo hapo naona kimyaWanapendwa pia
Uduvi wa vidagaa vya kawaida au uduvi wa dagaa kamba?..taja bei ya vyote possibleMkuu hapo juu nimekuuliza swali kwa Tanga wapi nitapata Uduvi kwa bei nafuu?Msaada kidogo hapo naona kimya
Nilikua naulizia bei ya Uduvi wa vidagaa vya kawaida kwa Tanga inakuaje na wapi nitapata kwa wepesi zaidi?Uduvi wa vidagaa vya kawaida au uduvi wa dagaa kamba?..taja bei ya vyote possible
Npo kilwa, tunaweza fnya kaz kama unahtaji vumbi la dagaa kwa ajiri ya mifugo. Kwa wing sanaMkuu hapo juu nimekuuliza swali kwa Tanga wapi nitapata Uduvi kwa bei nafuu?Msaada kidogo hapo naona kimya
Mkuu vumbi la dagaa ndiyo uduvi ama? Je hilo vumbi unauzaje ili tuone kama tunaweza kufanya biashara mimi niko dar es salaam.Npo kilwa, tunaweza fnya kaz kama unahtaji vumbi la dagaa kwa ajiri ya mifugo. Kwa wing sana
Sent using Jamii Forums mobile app