Biashara ya container.

Biashara ya container.

mojave

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2016
Posts
5,560
Reaction score
6,445
Natumai jumapili yenu iko salama wakuu..

Naomba kujuzwa bei au aneuza min container Kwa DSM.

Container lenyewe ni kama hili hapa.
81D00CC8-2144-4AA1-9362-B78DF3B4A38A.jpeg
81D00CC8-2144-4AA1-9362-B78DF3B4A38A.jpeg
 
Mimi nna makontena mawili tatizo yako mbali sana
 
yapo wapi mkuu??
Nkasi, mkoa wa rukwa, nahisi kama upo nje ya mkoa wa rukwa itakuwa ngumu maana kuyasafirisha ni gharama sana, pia haya yangu yalishakatwa kwa mfumo wa duka yaani yana mlango na dirisha
 
Nkasi, mkoa wa rukwa, nahisi kama upo nje ya mkoa wa rukwa itakuwa ngumu maana kuyasafirisha ni gharama sana, pia haya yangu yalishakatwa kwa mfumo wa duka yaani yana mlango na dirisha
Toa ofa yako basi mkuu
 
Hili siyo mini container,ni 20 feet container
Shukrani mkuu, nilitumia image kama kuonesha uhalisia wa kile natafuta

Natafuta min container, unalo au unajua bei zake?
 
Shukrani mkuu, nilitumia image kama kuonesha uhalisia wa kile natafuta

Natafuta min container, unalo au unajua bei zake?
+255 765 075 880 Mpigie huyo anaitwa Zakia Abdallah. Anahusika na kuuza containers za aina zote.

Hii ni kampuni inahusika na uuzaji wa hizo container so kila kitu kinakuwa documented officially.
 
Mkuu tafuta kwa umakini kuna utapeli sana kwenye makontena nilitapeliwa japo nimesamehe ila aliyenitapeli yupo la pili nilinunua na kubeba hapo hapo
 
Mkuu tafuta kwa umakini kuna utapeli sana kwenye makontena nilitapeliwa japo nimesamehe ila aliyenitapeli yupo la pili nilinunua na kubeba hapo hapo
Shukrani kwa kunitahadharisha mkuu
 
Back
Top Bottom