Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
Huu mchanganuo uko Safi bossMchanganuo wa biashara ni huu mkuu
Kwanza kabisa vifaa vyake muhimu
1: ile kabati ya kuhifazia chipsi inatakiwa iwe kubwa kiasi ngazi mbili au tatu itapendeza zaidi hapo kiasi ni 150k-250k
2:majiko mawili moja ya kuivishi chipsi nyingine ya kuchomea chipsi mayai mishikai N. K, hapo kila jiko itakost kuanzia 35k--45 kwa hiyo total pigia tu 90K,
3:vifaa vidogo vidogo kuna karai 10k--15k,sahani Dz 1 au 2 fanya 10K,koleo 3k,flampeni 2 5k, beseni dogo na kichujio chake kwa ndani 10K, vitu vidogo vidogo fanya 15K,
4:uje kwenye mazaga yenyewe.
Viazi gunia inategemeana na eneo ila bei kuanzia 45k--60,mafuta ya kula ndoo ndogo 30k,mkaa gunia moja inategemeana na eneo ila approximately ni 25k--40k,mayai tray 3 24K
Kwa kifupi kama hauna kifaa ata kimoja unatakiwa usiwe na chini ya 500k, na hapa ni kibanda tu cha kishkaji.
Faida zake,
Chipsi zina faida sana mkuu kama ukikaa location inayoeleweka inayoweza kumaliza kuanzia nusu gunia la viazi mpaka gunia moja na uwe na msimamizi imara huwezi kosa kuanzia 25k--45k kwa siku kama faida,
Hapo weka vyuku vyuku mishikaki,juice na N.k faida inakuwa mara dufu
Warning.
Usiwe na masihara ya kucheka na mademu, zingatia kipimo chako usisikie ya mteja anasema nini eti chipsi sishibi sijui chache mwambie aongeze hela umjazie.
Kuna kingine mkuu hapo ni kwa haraka haraka tu
CC Zero IQ
Hiyo warning nimeielewa zaidi[emoji3]Mchanganuo wa biashara ni huu mkuu

Nlijua tu hili tatizo litaisha kwako thus y nikakutag mkuu@Zero IqMchanganuo wa biashara ni huu mkuu

Sometimes Zero IQ sometimes great thinkerMchanganuo wa biashara ni huu mkuu

Kuna kingine anakitaka mkuu?Nlijua tu hili tatizo litaisha kwako thus y nikakutaf mkuu@Zero Iq
13SEPTEMBER
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aya ndio ufanyie kazi ila warning ukiizingatia ndio itakupa faida ukicheza na warning utafunga kibanda
Poa poa mkuuHuu mwongozo nimeukubali subir mrejesho tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu zero mi nataka nije kukuungisha, kibanda chako kipo wapi mzee?Aya ndio ufanyie kazi ila warning ukiizingatia ndio itakupa faida ukicheza na warning utafunga kibanda
CC Zero IQ
We jamaa kumbe ukiwaga serious unatema madini eehMchanganuo wa biashara ni huu mkuu
Kwanza kabisa vifaa vyake muhimu
1: ile kabati ya kuhifazia chipsi inatakiwa iwe kubwa kiasi ngazi mbili au tatu itapendeza zaidi hapo kiasi ni 150k-250k
2:majiko mawili moja ya kuivishi chipsi nyingine ya kuchomea chipsi mayai mishikai N. K, hapo kila jiko itakost kuanzia 35k--45 kwa hiyo total pigia tu 90K,
3:vifaa vidogo vidogo kuna karai 10k--15k,sahani Dz 1 au 2 fanya 10K,koleo 3k,flampeni 2 5k, beseni dogo na kichujio chake kwa ndani 10K, vitu vidogo vidogo fanya 15K,
4:uje kwenye mazaga yenyewe.
Viazi gunia inategemeana na eneo ila bei kuanzia 45k--60,mafuta ya kula ndoo ndogo 30k,mkaa gunia moja inategemeana na eneo ila approximately ni 25k--40k,mayai tray 3 24K
Kwa kifupi kama hauna kifaa ata kimoja unatakiwa usiwe na chini ya 500k, na hapa ni kibanda tu cha kishkaji.
Faida zake,
Chipsi zina faida sana mkuu kama ukikaa location inayoeleweka inayoweza kumaliza kuanzia nusu gunia la viazi mpaka gunia moja na uwe na msimamizi imara huwezi kosa kuanzia 25k--45k kwa siku kama faida,
Hapo weka vyuku vyuku mishikaki,juice na N.k faida inakuwa mara dufu
Warning.
Usiwe na masihara ya kucheka na mademu, zingatia kipimo chako usisikie ya mteja anasema nini eti chipsi sishibi sijui chache mwambie aongeze hela umjazie.
Kuna kingine mkuu hapo ni kwa haraka haraka tu
CC Zero IQ
Usijari mkuu nipo nakiupdate mdogo mdogo niweke mazingira flani hivi then nitaandika bango kubwa ZERO IQ chips, nitakuja kulitangaz humu ili ndugu zangu wana jf waje kuniunga mkono pamoja na kukutana na mr Zero Mwenyewe,Mkuu zero mi nataka nije kukuungisha, kibanda chako kipo wapi mzee?
Sasa kwani mie nakuja kula urembo mkuu? Mbona kama hujiamini arifu! Nipe location mie nije kula kiepe 2Usijari mkuu nipo nakiupdate mdogo mdogo niweke mazingira flani hivi then nitaandika bango kubwa ZERO IQ chips, nitakuja kulitangaz humu ili ndugu zangu wana jf waje kuniunga mkono pamoja na kukutana na mr Zero Mwenyewe,
Sina haja ya kujua ID yako ukija kwangu na kusema kwamba wewe ni mwanajF mwenzangu basi kutakuwa na ofa ndogo tu sio kubwa sana ili mradi tufurahi kwa kuwa pamoja siku hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchanganuo wa biashara ni huu mkuu
Kwanza kabisa vifaa vyake muhimu
1: ile kabati ya kuhifazia chipsi inatakiwa iwe kubwa kiasi ngazi mbili au tatu itapendeza zaidi hapo kiasi ni 150k-250k
2:majiko mawili moja ya kuivishi chipsi nyingine ya kuchomea chipsi mayai mishikai N. K, hapo kila jiko itakost kuanzia 35k--45 kwa hiyo total pigia tu 90K,
3:vifaa vidogo vidogo kuna karai 10k--15k,sahani Dz 1 au 2 fanya 10K,koleo 3k,flampeni 2 5k, beseni dogo na kichujio chake kwa ndani 10K, vitu vidogo vidogo fanya 15K,
4:uje kwenye mazaga yenyewe.
Viazi gunia inategemeana na eneo ila bei kuanzia 45k--60,mafuta ya kula ndoo ndogo 30k,mkaa gunia moja inategemeana na eneo ila approximately ni 25k--40k,mayai tray 3 24K
Kwa kifupi kama hauna kifaa ata kimoja unatakiwa usiwe na chini ya 500k, na hapa ni kibanda tu cha kishkaji.
Faida zake,
Chipsi zina faida sana mkuu kama ukikaa location inayoeleweka inayoweza kumaliza kuanzia nusu gunia la viazi mpaka gunia moja na uwe na msimamizi imara huwezi kosa kuanzia 25k--45k kwa siku kama faida,
Hapo weka vyuku vyuku mishikaki,juice na N.k faida inakuwa mara dufu
Warning.
Usiwe na masihara ya kucheka na mademu, zingatia kipimo chako usisikie ya mteja anasema nini eti chipsi sishibi sijui chache mwambie aongeze hela umjazie.
Kuna kingine mkuu hapo ni kwa haraka haraka tu
CC Zero IQ
Karibu PM Mkuuumemaliza kila.kitu....nahitaji tuongee jambo moja kuhusu hii biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafta 500k nikupe vitu vyote wewe ukifka ni kununua malighafi tu nipm tubongeWakuu Kuna usemi unasema usitegemee biashara 1 siku ikipatwa na changamoto ya wateja inafika muda unakosa hata Mia, kwa iyo unapaswa uwe na biashara hata 3
Mbali na Kua na salon ya kiume na plani nianzishe biashara ya kuuza chips mishkaki, mayai nk!
Naomba Mwenye uelewa na hii biashara kijana wa kufanya kazi yupo Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafta 500k nikupe vitu vyote wewe ukifka ni kununua malighafi tu nipm tubonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekubali mkuu, umemtembelea mule muleMchanganuo wa biashara ni huu mkuu