Biashara ya Cement

Biashara ya Cement

ellie24

New Member
Joined
May 21, 2016
Posts
4
Reaction score
4
Habari wana Jamii, naamin weekend inakwenda vizuri.

Nimekuwa nafanya Biashara ya kuuza vifaa vya Ujenzi kwa muda kidogo ila sasa hv natamani kuanza biashara ya kununua na kuuza cement toka kwa wakala kutoka kiwandani kabsa au kwenda kiwandani na kuchukua cement kwa jina la wakala kutoka Tanga (Simba Cement au cement za kichina). Niko mbele yenu kuomba kama kuna mtu anamjua wakala anayeuza cement kwa bei nafuu kuanzia 11000-12000 Tshs hapo au nikatumia jina lake kuchukua toka kiwandani na bei yake ni nafuu naomba unijuzee.

Nataka Nianze kuwa msambazaji wa cement maeneo ya manyara na barabara ya kuelekea singida na Dodoma huku na kama mtu anajua changamoto ya biashara hii Naomba nijulishwe. Ahsante sana… weekends njema
 
Habari wana Jamii, naamin weekend inakwenda vizuri. Nimekuwa nafanya Biashara ya kuuza vifaa vya Ujenzi kwa muda kidogo ila sasa hv natamani kuanza biashara ya kununua na kuuza cement toka kwa wakala kutoka kiwandani kabsa au kwenda kiwandani na kuchukua cement kwa jina la wakala kutoka Tanga (Simba Cement au cement za kichina). Niko mbele yenu kuomba kama kuna mtu anamjua wakala anayeuza cement kwa bei nafuu kuanzia 11000-12000 Tshs hapo au nikatumia jina lake kuchukua toka kiwandani na bei yake ni nafuu naomba unijuzee. Nataka Nianze kuwa msambazaji wa cement maeneo ya manyara na barabara ya kuelekea singida na Dodoma huku na kama mtu anajua changamoto ya biashara hii Naomba nijulishwe. Ahsante sana… weekends njema
Matajiri wa Jamii Forums haha huwezi kuwaona. Si chawa walla nani
 
Hello, nicheck kupitia whatasapp naweza kukuunganisha na distributer & transporter wa Huaxin cement and Simba cement.
0717 360 908.
Hizi fursa za kuficho kwenye forum kama hii sio poa unakosa weledi kwani hujui ni nani yuko interested kufanya klkazi nawewe.Weka elimu hapa
 
Back
Top Bottom