K kalikumutima Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 147 Reaction score 47 Nov 28, 2015 #1 Habari wa ndg.naomba msaada kwa anaejua biashara hii faida na changamoto zake maana kuna eneo nimeona kuna butcher moja tu hivyo likanijia wazo hilo.Najua jf ni sehemu ambayo unaweza kufanyia utafiti.Naomba kuwasilisha
Habari wa ndg.naomba msaada kwa anaejua biashara hii faida na changamoto zake maana kuna eneo nimeona kuna butcher moja tu hivyo likanijia wazo hilo.Najua jf ni sehemu ambayo unaweza kufanyia utafiti.Naomba kuwasilisha
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,854 Reaction score 10,064 Dec 1, 2015 #2 Swali lako sio jipya,tafuta humu kuna uzi kama huu umeeleza mambo mengi.Just update tu