Biashara ya bodaboda marufuku Zanzibar e

Nimesikia Hilo tangazo, kuna vijana walishaanza kujiajiri ila ndo hivyo tena,
Ila Znz kwa namna ilivyokaa boda boda wana umuhimu, kuna baadhi ya maeneo gari hazifiki
 
Kwahiyo sisi wamiliki wa boda boda tunakula wapi?
 
Mrejesho marufuku ya bodaboda Zanzibar. Agizo halitekelezeki.
 
[emoji2], mwenye shibe hamjui mwenye njaa kweli
 
Nije niwaone kwenye misururu ya kuchukua fomu
 
Halafuu: Mbona kuna sheria ya sumatra inaruhusu pikipiki za magurudumu mawili na matatu, au imeacha kuvuka mipaka!?
 
Very interesting, kwahiyo wapiga kura waliwachagua wawakilishi kwenda kutunga sheria ya kuwazuia wanaopiga kura kufanya kazi inayowafanyanya waishi ili waweze kupiga kura.
Paradoxical is it?
 
Nadhani kwa kuwa more than 99% ni watu wa imani; dini hairuhusu kukumbatiana hadharani. Wako sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…