nataka kuchukua bidhaa za FOREVER na supply lakini nimepata darasa juu juu tu aliye na taarifa kamili naomba anijuze zaidi, namna ya kuwa mwanachama, kupata bidhaa namna ya kusambaza na masharti yake ya koje

Nakushauri achana na biashara za kizushi kama hizo. Watu wengi ni bla bla tu za utajiri wa haraka haraka lakini sijawahi kumuona hata mtu mmoja aliyetoka kupitia forever sijui oriflame.