Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,621 Reaction score 6,512 Nov 9, 2017 #1 Ninafikiria kufanya biashara ya battery fulani ambazo zinapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa mtumiaji ila sina uhakika kama soko ni kubwa kihivyo. Hivi ni biashara gani zina matumizi ya kila siku ya AA na AAA batteries? Natanguliza shukrani
Ninafikiria kufanya biashara ya battery fulani ambazo zinapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa mtumiaji ila sina uhakika kama soko ni kubwa kihivyo. Hivi ni biashara gani zina matumizi ya kila siku ya AA na AAA batteries? Natanguliza shukrani