Alex Protase
Member
- May 27, 2016
- 38
- 10
Yeye amesema Bar, hayo ya tuition centre ni yako, U need, Lipa 3.5 ufanye utakacho, mambo mengine kukatishana tamaa tu!Naweza kuifanya kituo cha twishen maana kwa matokeo ya NECTA Dar tunahitaji elimu kuliko bar!
Kweli kabisa mkuu.Naweza kuifanya kituo cha twishen maana kwa matokeo ya NECTA Dar tunahitaji elimu kuliko bar!
Biashara hii iko Mbezi mwisho, Kibanda cha Mkaa, iko sehemu iliyotulia na mzunguko wa watu ni mkubwa, ina kila kitu ni kuingiza vinywaji tu unaanza kazi. Bei yake ni pamoja na kodi ya miezi 5 kuanzia March, ni shs 300,000 kwa mwezi.
Kwa mawasiliano 0713895049/ 0753543236/0688186936.
Tena sio kuuza swali muhimu ni kwanini muhusika anaiachia?Kwa nini unaiuza?
Mapato ya mwezi mbona yanalipwa na jiko tu, akikusanya elfu 10 kila siku kwa mtu wa jikoni tayari umelipa kodiKwa kukadiria, mapato ya mwezi yanaweza kucover kodi ya mwezi?
Lodge iko kama mita hamsini kutoka bar ilipo.Mkuu mleta uzi kuna lodge karibu?
Tangazo linasema biashara ya bar inauzwa sio bar inauzwa, kuhusu kuiacha wakati kodi haijaisha sababu ziko nyingi Mkuu, kuna kubanwa na majuku mengine ukashindwa usimamizi, kuna uhamisho, kuishiwa uwezo wa kupambana na washindani.nk mojawapo kati ya hizo imenikuta Mimi.Tena sio kuuza swali muhimu ni kwanini muhusika anaiachia?
Maana anasema hiyo bei ni pamoja na kodi ya miezi mitano kuanzia march.
1) Je, inauzwa bar au vitu vilivyomo ndani ya bar?
2) Je, baada ya miezi mitano kupita atakayenunua ataendelea kulipa kodi?
ExactlyYeye amesema Bar, hayo ya tuition centre ni yako, U need, Lipa 3.5 ufanye utakacho, mambo mengine kukatishana tamaa tu!