Kama ni Kwa balo nenda mnazi m1 ule mtaaa wenye mnara wa saa nadhani ni samora Ile Kuna maduka kibao yanuza balo mbalimbali za mitumba ila Fanya research kwanza coz unaweza pigwa either kwenye ubora wa mzigo au bei so be you must be alert
Naomba kujua nitapata wapi duka la balo za nguo za mtumba Bei ya jumla
Mfano
Kadeti
Shuka
Prova
Jacket
Sweta
Jinsi
Jeje
Gauni za kike
Nguo za watoto
Viatu nk