Biashara ya bajaj na pikipiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya bajaj na pikipiki

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Masika, Aug 12, 2011.

 1. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  HABARI WANA GREAT THINKERS,
  HEBU TUCHAMBUE FAIDA NA HASARA ZA BIASHARA YA BAJAJ NA BODA BODA
  A:FAIDA
  I-MADEREVA WAMEPATA KAZI NA AMBAO HAWAKUWA MADEREVA WAMEJIFUNZA
  II-VYUO VYA MADEREVA VIMEPATA FAIDA BAADA YA VIJANA WENGI KWENDA UDEREVA
  III-SERIKALI KUPITIA TRA IMEONGEZA VYANZO VYA MAPATO,KUANZIA USAJILI,LESENI,ROAD LICENCE,MAPATO
  IV-WANANCHI WAMEONGEZA VIPATO IE TZS 15000 KILA SIKU KWA BAJAJ(WASTANI) NA TZS10000 KWA PIKI PIKI(BODA BODA) AMBAYO NI ONGEZEKO LA KATI YA 200-450 ELFU ZA KI TZ
  V-MADUKA YA SPEA YAMEONGEZEKA,WAFANYABIASHARA WANAONGEZA VIPATO KADHALIKA WAUZAJI
  vi-MAFUNDI WA BAJAJ NA BODA BODA WAMEPATA AJIRA
  VII-WASHONA MATURUBAI WANAPIGA HELA
  V11 MAMA NTILIE WANAUZA MISOSI KWA FAIDA
  VIII................
  IX..................

  B:HASARA
  I-FOLENI ZIMEONGEZEKA
  II-AJALI NA VIFO KAMA KAWA
  III...............
  IV...............

  KARIBUNI,NAOMBA KUWASILISHA
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mimba kwa wanafunzi wa secondari zimeongezeka....
   
 3. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ajali ambazo zimepelekea wengi kupata ulemavu wa viungo
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nimepoteza mchumba kwa bajaj
   
 5. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Daahh! Umenikumbusha ile ajali aliyosababisha mheshimiwa Mzee wa Vijisenti Chenge Iliyowaondoa abiria wa Bajaj!
   
Loading...