Biashara ya alizeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya alizeti

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DA HUSTLA, Mar 20, 2012.

 1. DA HUSTLA

  DA HUSTLA JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 80
  Jamani wadau naomba mnishauri kuhusu yafuatayo.Nahitaji kufanya biashara ya kusafirisha alizeti lakini sifahamu ABC yake,vile vile kuna watu wananishauri nifanye kusindika kabisa ili nipate faida zaidi lakini sifahamu pia ABC yake.Kwa hiyo naomba mnijuze kama ntafanya kusafirisha wapi ntapata bidhaa na soko lake ntapata wapi ikiwemo bei pamoja na viwango vinavyohitajika.Pia nkifanya usindikaji itanigharimu kiasi gani kumudu kufanya hivyo ikiwemo gharama za vifaa,wafanya kazi pamoja na soko pia kufikia viwango vinavyohitajika,ni hayo tu wakuu naombeni msaada wenu.
   
 2. Erick_Otieno

  Erick_Otieno JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 180
  Mkuu nenda SIDO watakupa ABC zote
   
 3. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tembeleaa SIDO AMA VETA utapata mashine nzuri, durable za kukamua mafuta ya alizeti,muza hapa hapa nchini unless uwentayari kuanza na tbs tfda na mashirika mengine ya viwango kabla hujaanza kusafirisha nje, wale jamaa watakupa na utaalam wa kuyasafisha kuhakikisha yanakuwa salama kwa matumizi ya waTz
   
Loading...