kuku mweus
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 766
- 602
Jumatano tunakutana Azam anakula kichapo
Hahahaaaaa nakuona unajipa moyo mzeeJumatano tunakutana Azam anakula kichapo
We subiri ntakupa update live kutoka karume mkoani maraHahahaaaaa nakuona unajipa moyo mzee
Aiseeee,ya kweli haya?Jumatano tunakutana Azam anakula kichapo
We unadhani uongo amaAiseeee,ya kweli haya?
Naona kama ndoto za alinachaWe unadhani uongo ama
Pambana na shida zakoNaona kama ndoto za alinacha
Lete updatePambana na shida zako
Ft 0 0Lete update
Asante kwa taarifa.Mpira umeisha bila bila
Poleni sana sijui mtamfunga na nani na wapi sasaFt 0 0
Lazima mshuke darajaMpira umeisha bila bila
Hahahaaaa hawa lazima washuke daraja iwe isiwe lakin lazima washuke darajaPoleni sana sijui mtamfunga na nani na wapi sasa
Ehe baada ya kuonesha mchezo mzur ndo ikawa sasaKipindi cha pili biashara united inaanza kwa kuonyesha mcheZo mzuri