Biashara ubunifu

Mkuu mwambie aniletee baada ya report sasa ivi appetite imekata
 
Muhimu hajadhulumu cha mtu na maisha yake yanamuendea, ni vizuri sana, mengine yatafuata kidogo kidogo
 
Umenena vema HARUFU
Kwa wenzetu Afrika magharibi huyo unamkuta anafanya kazi hiyo na degree zake tele na bado hakijaeleweka anaendelea kupigania kutoka tofauti na sisi degree baadhi ya watu wanachukulia kama ni ujiko fulani vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…