lucas more Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 108 Reaction score 27 Apr 4, 2021 #1 Habari Great thinkers Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc) Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake Au kama kuna fursa nyingine nzuri tujuzane. Asanteni
Habari Great thinkers Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc) Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake Au kama kuna fursa nyingine nzuri tujuzane. Asanteni
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Apr 4, 2021 #2 Subiri wataalamu wa hayo mambo waje
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,093 Reaction score 22,806 Apr 4, 2021 #3 Nadhani ungeenda halafu ukafahamu namna ya kuanza kwa uwezo wako binafsi. Hapa utapewa hig hopes au statements za kukucritisize..... Mwishowe ukaahirisha na biashara yenyewe....
Nadhani ungeenda halafu ukafahamu namna ya kuanza kwa uwezo wako binafsi. Hapa utapewa hig hopes au statements za kukucritisize..... Mwishowe ukaahirisha na biashara yenyewe....