Biashara na Biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara na Biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by KakaKiiza, Aug 11, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Wakuu najua humu ndani ya JF kuna watu kutoka Msoma mtanisaidia hasa wale watokao Tarime mpakani na kenya al-maarufu Wajaruo!
  Nimepitia mikoa yote ya Tanzania nikafanya karesearch kangu nikaja kugundua kuwa aslimia 97% ya watengeneza mihuri (Rubber Stamp)wote ni WAJARUO!!Swali je Nikwanini??au Mihuri imeanzia kwao??Nijuzeni weledi!:wave:
   
 2. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Umefanya research kwa watengeneza mihuri wangapi mikoa gani?
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hii nayo ni habari ya BIASHARA!!!! Wajaruo......wajaluo? mwe. Hii nadhani ingeenda pale chini.
   
 4. L

  Lady JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hahahahahaah!
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Mkuu nikaribu mikoa yote tanzania mikoa ambayo sijaipitia ni huko kusini!!Nitawaomba wale waliofika kusini watulete research yao then tukompaili data tutoke nakitu kizima!!naomba wakuu dat za kusini kuhusu Wajaruo!!Nasubiri hapa :playball:
   
Loading...