Biashara na Ajira

Biashara na Ajira

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,103
Habari humu JF

Leo nimeona nije na Changamoto ni jinsi gani mtu aweze kufanya biashara bila kuathiri Ajira yake.

Kwani sasa Ajira nyingi zimekuwa zikichukua muda wote katika siku week na hata miaka.

Na hata pia ukikusanya kipato cha ajira bado hakikidhi hata Nusu ya shida zako.

Na pia huwezi acha Ajira ilio kutunza tangu ukiwa huna maisha wala kitu ukakimbilia biashara.Kwanza si busara hata kwa wale mlio nao kwenye ajira.

Sasa kutokana na sababu za bandiko langu.

Naombeni ku share namna ambavyo utatumia mbinu mbali mbali jinsi ya kufanya biashara yako vyema ikakupa Faida bila kuathiri Ajira yako.

Pia kwa kurahisisha zaidi mjadala huu basi pia njia ya Network ikawe kama kiini cha mjadala huu.

Asanteni na wasilisha

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Lazima tujenge utamaduni wa kujisomea vitabu, maswali yetu mengi majibu yake yapo kwenye vitabu. Kuliko kupenda kuelimika kwa comments fupi mitandaoni.

Mwisho: Leo hii ukiingia kwenye baadhi ya familia zilizoendelea hasa hasa wazungu, licha ya kabati la nguo na viombo lazima siting room utakuta kabati kubwa la vitabu!

Screenshot_20211205_122722.jpg
 
Lazima tujenge utamaduni wa kujisomea vitabu, maswali yetu mengi majibu yake yapo kwenye vitabu. Kuliko kupenda kuelimika kwa comments fupi mitandaoni.

Mwisho: Leo hii ukiingia kwenye baadhi ya familia zilizoendelea hasa hasa wazungu, licha ya kabati la nguo na viombo lazima siting room utakuta kabati kubwa la vitabu! View attachment 2033599
Nashukuru sanaa kaka...Japo Inspiration books nimezisoma sanaa Online.

Mfano, Series za Robart Kiyosaki

Nlicho kuwa na kiomba hapa nipate Experience kwa walio on ground rather than written Document.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Inategemea Aisee kuna Ajira zingne ni ngumu kujiajir---kuna jamaa angu ameacha kazi ya malipo ya 150k kwa mwezi huna muda wa kumpumzka Siku 30 zote
 
Kama Taifa tunajidanganya sana Biashara haiitaji knowledge pekee bali discipline ya pesa na uvumilivu wa hali ya juu. Most people are not cut out to do that, njia rahisi ni jobs ambavo zitamfanya mtu ku-survive na wale wachache ndio wawekeze kwenye biashara, unless otherwise tutaendelea kuwa na jamii yenye watu wenye stress, madeni na mwisho wa siku kuchanganyikiwa.

We are all different, na hakuna jinsi ya kuliokoa taifa zaidi ya kufanya watu wawe na income generation opportunities (ambazo sio za kuchuuza na kugombania wateja ambao hawana disposable income)
 
Well Comment after all haiwezekani kila mtu awe business man

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Jikite hapa: Biashara ya kutengeneza na kuuza (ujuzi ni muhimu)
Achana na hii: Biashara ya kununua na kuuza (yeyote anafanya)
 
Back
Top Bottom