Biashara Mbezi mwisho, Riverside au Kigamboni

Biashara Mbezi mwisho, Riverside au Kigamboni

coverland

New Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
3
Reaction score
1
Nina biashara ya kava za simu za iphone na simu nyngine na accessories kama usb, charger, protector na vingne vingi kuhusu iphone, samsung, infinux, tecno.

Kwa maeneo hayo eneo lipi litafaa na kwa sababu zipi kwan ni sehem ambaz zinakua kibiashara
 
Yote maeneo yanafaa unachotakiwa kufanya ni kuangalia hilo eneo lina pitiwa na watu wengi tofauti tofauti? Eneo likiwa la kupanda basi moja itapendez, itangaze hiyo biashara mitandaoni kwako
 
Mbezi mwisho inakuwa kwa kasi sana na usafiri wa mikoani utakapoanza patakuwa moto. Tafuta eneo ambalo linafikika kirahisi kwa wasafiri wa mikoani na ndani ya mkoa huenda hata ukaanza kuuza kwa jumla.
 
N
Nina biashara ya kava za simu za iphone na simu nyngine na accessories kama usb, charger, protector na vingne vingi kuhusu iphone, samsung, infinux, tecno.

Kwa maeneo hayo eneo lipi litafaa na kwa sababu zipi kwan ni sehem ambaz zinakua kibiashara
Nahitaji kufanya hii biashara, mzgo unapatikana wapi kwa bei nzur
 
Nimekaa Ubungo kwa mdaa wa miaka miwili na ninajua namna biashara zinavyoenda pale japo sio snaa maaan sijawah fanya biashara maeneo yale Kiutaalam izo sehem zote ulizozitaja zipo vyema kwa biashara ila kwa kuwa ubungo bado ni shopping area na mbezii ni development area .

Hivyo basiii ushaurii wangu mm kwakuwa mbezi inakuja juu sanaaa na nikitovu cha muunganiko wa watu wa makumbusho kupitia goba na hawa wanaotumia njia ya kinyerez hapa nasemea wakigogo sokon wa gongo la mboto nazungumzia pia wa temeke na wengine wengi wa njia hio.

Kusogea kwa stand ya mkoa Mbezi kutapanua fursa nyingi mnoo pia watu wa makabe malamba msumiii zone kibamba kibaha wataifanya mbezii nikama mjini kwao hivyoo kitakuwa nikitovu kizurii snaa cha kupata wateja wengi.

Ubungo pale stand ya mkoa inaondoka hivyoo kwa mda itashake kw kwenye mauzo ila baaada ya stand ya mwendo kasii na jumba la biashara litakalo jengwa pale ubungo litaiinua tena Hivyoo nakushauri uje mbezii tena tafuta sehem hapa kama unaelekea stand ya malamba. Siwez kuandika sana naomba niishie hapo.
 
Nimekaa ubungo kwa mdaa wa miaka miwili na ninajua namna biashara zinavyoenda pale japo sio snaa maaan sijawah fanya biashara maeneo yale Kiutaalam izo sehem zote ulizozitaja zipo vyema kwa biashara ila kwa kuwa ubungo bado ni shopping area na mbezii ni development area . Hivyo basiii ushaurii wangu mm kwakuwa mbezi inakuja juu sanaaa na nikitovu cha muunganiko wa watu wa makumbusho kupitia goba na hawa wanaotumia njia ya kinyerez hapa nasemea wakigogo sokon wa gongo la mboto nazungumzia pia wa temeke na wengine wengi wa njia hio. Kusogea kwa stand ya mkoa mbezii kutapanua fursa nyingi mnoo pia watu wa makabe malamba msumiii zone kibamba kibaha wataifanya mbezii nikama mjini kwao hivyoo kitakuwa nikitovu kizurii snaa cha kupata wateja wengi. Ubungo pale stand ya mkoa inaondoka hivyoo kwa mda itashake kw kwenye mauzo ila baaada ya stand ya mwendo kasii na jumba la biashara litakalo jengwa pale ubungo litaiinua tena Hivyoo nakushauri uje mbezii tena tafuta sehem hapa kama unaelekea stand ya malamba. Siwez kuandika sana naomba niishie hapo

Shukarani sanaaaaaaaa ndugu ubarikiwe sanaa kupitia hii threads kuna watu itawqsaidia pia
 
Nimekaa ubungo kwa mdaa wa miaka miwili na ninajua namna biashara zinavyoenda pale japo sio snaa maaan sijawah fanya biashara maeneo yale Kiutaalam izo sehem zote ulizozitaja zipo vyema kwa biashara ila kwa kuwa ubungo bado ni shopping area na mbezii ni development area .

Hivyo basiii ushaurii wangu mm kwakuwa mbezi inakuja juu sanaaa na nikitovu cha muunganiko wa watu wa makumbusho kupitia goba na hawa wanaotumia njia ya kinyerez hapa nasemea wakigogo sokon wa gongo la mboto nazungumzia pia wa temeke na wengine wengi wa njia hio.

Kusogea kwa stand ya mkoa mbezii kutapanua fursa nyingi mnoo pia watu wa makabe malamba msumiii zone kibamba kibaha wataifanya mbezii nikama mjini kwao hivyoo kitakuwa nikitovu kizurii snaa cha kupata wateja wengi.

Ubungo pale stand ya mkoa inaondoka hivyoo kwa mda itashake kw kwenye mauzo ila baaada ya stand ya mwendo kasii na jumba la biashara litakalo jengwa pale ubungo litaiinua tena Hivyoo nakushauri uje mbezii tena tafuta sehem hapa kama unaelekea stand ya malamba. Siwez kuandika sana naomba niishie hapo.
Kweli mbezi panakuja kasi sana tatizo frame za biashara hamna..na zilizopo ni chache afu ghali mno kama kariakoo tu. Labda watu wenye mitaji mikubwa wakijenga frames nyingi,au kama mtu unaweza utengemeze kibanda ukipachike sehemu.
 
Nikweli kaka. Nimegusa flame juzi naambiwa 700000 kwa mwezi na zimejaa nikapata mbele kwenye njiapanda ya KINYEREZI nikaambiwa 500000 tena imebaki 1 kwenye jingo la flame karibia 10 na bado zinajengwa
 
Duuh...sasa sisi wa vitambulisho vya ujasiliamali tutatoboa kweli.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom