Biashara matangazo!!!

Biashara matangazo!!!

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Posts
582
Reaction score
104
Huo ndo ujasiri wa mali.
 
Attachments

  • cp.jpg
    cp.jpg
    48.1 KB · Views: 1,971
Mi naona kawaida kabisa kwani wangeweka soksi au leso ungeshangaa?
 
Kuna mtu mmoja alienda kwenye duka la nguo akaomba aonyeshwe nguo ya ndani (a.k.a. chupi) size kuuubwaaa kuliko zote. Alionyeshwa yenye XXXXXXXXXXL kibao. Baadae aliacha namba yake ya simu ili akitokea mnunuzi wa hiyo c***i, aitwe akamshuhudie huyo mnunuzi aliyejaaliwa!!!!!
 
Hii ipo Arusha barabara ya chini ya mti kuelekea stend kubwa ya mabasi.Hapa panapatikana chupi za saizi yoyote utakayo.Kweli biashara matangazo mkuu.
 
Kuna mtu mmoja alienda kwenye duka la nguo akaomba aonyeshwe nguo ya ndani (a.k.a. chupi) size kuuubwaaa kuliko zote. Alionyeshwa yenye XXXXXXXXXXL kibao. Baadae aliacha namba yake ya simu ili akitokea mnunuzi wa hiyo c***i, aitwe akamshuhudie huyo mnunuzi aliyejaaliwa!!!!!
Ni wa njisia gani.?
 
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni,wanaharakati wenzangu hebu nisaidieni hili nalo mantiki yake nini..
 
kama kuna mtu hiyo chupi ikawa saiz yake please come and collect you handsome bumbler gift from me
 
Kama tschupi tu iko hivyo, je inayo funikwa nayo inukubwa gani? Inaweza kuwa na ukubwa wa kutosha kuingiza mikono yote miwili na kupiga makofi matatu ya Chama Cha Mafisadi! Waah waaah waaaah!
 
mbona ndogo sana hainitoshi hiii :bored::bored::bored:
 
Back
Top Bottom