Yaani hapo ndo unajiona kuna unachojua?
Kujua kwamba kama wangekuwa na hela walishindwa vp kupanda ndege ya abiria ndo tayari ushajiona mjuzi!!
Kama mimi ni mjinga basi wewe utakuwa ndo mpumbavu usiye na akili japo chembe!
Ni mpumbavu kwa sababu hao TFF unaowatetea wamefanya tunachosema wameshindwa nini kufanya mapema zaidi
Lakini kwavile wewe ni mpumbavu, ndo maana unashindwa kujua hoja hapa ni nini hasa... STUPID!!