Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

Status
Not open for further replies.
Tatizo ni kua wewe ni kilaza sasa unataka nikutafunie
Kwa kukupa location ili uvumbue nini au lengo lako ni nini?
Ungeuliza na iyo inayokusanywa inapatikana wapi
Ndo maana nkasema mashamba yako na kwa taarifa wengine ndo mishe zetu , tunasupply mpaka nje ya nchi
Unataka unioji maswali ili iweje au ulitaka nkulete mahala ninapofanyia kazi idiot mmoja tu wewe endelea pambia ukiwa umekaa kitandani

Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake nimeacha kujibu kusudi coz nishajua lengo lako

Ubinafsi sio mzur ktk kuongelea vitu vya msingi .
 
Sio kosa la mama yako kukuzaa, mana ulikua ni mpango wa Mungu uzaliwe, lakini pia sio kosa lako wewe kuwaza unavyowaza, ni maskini na una akili za kimaskini blame it on umaskini wako dogo. I spit on you. Disgusting poor soul.

Sikuanzisha huu uzi kwa lengo la kuulizwa nilichochagua ni kipi, sababu najua kasumba ya wapuuzi kama nyie wa jamii forums wenye akili za kimaskini kuwaza kua ni utapeli, idea za biashara zimetolewa na wale walio serious wamefanyia kazi bila hata mimi kukua na wala kutojishuhulisha kujua, mimi nimepata ideas na nimefanyia kazi na wala sitaki kushirikisha yoyote kila mtu apambane na hali yake, sababu watanzania maskini wachawi wa aina yako tumewaona hata kwenye mafanikio ya diamond platnumz, amenunua gari la thamani lakini mmekuja kwa uchungu mkubwa humu kulalama kwamba kanunua gari feki, kwamba hakuna mtanzania kijana anayeweza kupambana kununua gari la bilioni 1.5, the same goes kwangu kwahio sijashtushwa na comment zenu za kimaskini, nawatakia umaskini mwema.

BY THE WAY ...UNADHANI SHILINGI MILIONI 20, 30, 50, 100, 200, 500, zinatakiwa kutamkwaje? Uzitamke ukiwa unalia machozi au ukiwa unasulubiwa msalabani
Wala sitakuchukia hata unitukane umalize matusi yote ya duniani.
Hayo ndio maneno ya motivation speakers tumeyazoea.
Na kama si motivation speaker basi ni wale wazee wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" pia huwa wanatukanaga kama hivyo ukiwashtukia mitego yao.
Endelea tu utawapata wajinga wa kukuzidi wewe kwa ujinga,maana hata wajinga pia huzidiana kiwango cha ujinga na kuna ranks zao.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom