kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,256
Kwanini mkuuInferior Complex, Mbao hazilipi.
Kwanini mkuuInferior Complex, Mbao hazilipi.
Tatizo ni kua wewe ni kilaza sasa unataka nikutafunie
Kwa kukupa location ili uvumbue nini au lengo lako ni nini?
Ungeuliza na iyo inayokusanywa inapatikana wapi
Ndo maana nkasema mashamba yako na kwa taarifa wengine ndo mishe zetu , tunasupply mpaka nje ya nchi
Unataka unioji maswali ili iweje au ulitaka nkulete mahala ninapofanyia kazi idiot mmoja tu wewe endelea pambia ukiwa umekaa kitandani
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake nimeacha kujibu kusudi coz nishajua lengo lako
Wala sitakuchukia hata unitukane umalize matusi yote ya duniani.Sio kosa la mama yako kukuzaa, mana ulikua ni mpango wa Mungu uzaliwe, lakini pia sio kosa lako wewe kuwaza unavyowaza, ni maskini na una akili za kimaskini blame it on umaskini wako dogo. I spit on you. Disgusting poor soul.
Sikuanzisha huu uzi kwa lengo la kuulizwa nilichochagua ni kipi, sababu najua kasumba ya wapuuzi kama nyie wa jamii forums wenye akili za kimaskini kuwaza kua ni utapeli, idea za biashara zimetolewa na wale walio serious wamefanyia kazi bila hata mimi kukua na wala kutojishuhulisha kujua, mimi nimepata ideas na nimefanyia kazi na wala sitaki kushirikisha yoyote kila mtu apambane na hali yake, sababu watanzania maskini wachawi wa aina yako tumewaona hata kwenye mafanikio ya diamond platnumz, amenunua gari la thamani lakini mmekuja kwa uchungu mkubwa humu kulalama kwamba kanunua gari feki, kwamba hakuna mtanzania kijana anayeweza kupambana kununua gari la bilioni 1.5, the same goes kwangu kwahio sijashtushwa na comment zenu za kimaskini, nawatakia umaskini mwema.
BY THE WAY ...UNADHANI SHILINGI MILIONI 20, 30, 50, 100, 200, 500, zinatakiwa kutamkwaje? Uzitamke ukiwa unalia machozi au ukiwa unasulubiwa msalabani