Salam wakuu. Kutokana na kukua kwa teknolojia ya internet duniani, biashara,na huduma nyingi siku hizi hupatikana online aidha bure au kwa malipo kidogo kwa kuwa na ka-blog ama website.. Kwetu sisi Tanzania ni biashara gani ambayo watu wanaweza kuwa na interest nayo na hata kuweza kulipia?
Nashukuru kwa mchango wako.
Nashukuru kwa mchango wako.