Biashara gan inafaa....?

Biashara gan inafaa....?

meliki_01

New Member
Joined
Dec 6, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Wadau vp...
Mm Nina laki moja nataka nifanye biashara, biashara gan inafaa kwa mtaji hu?
 
Wadau vp...
Mm Nina laki moja nataka nifanye biashara, biashara gan inafaa kwa mtaji hu?
Nenda kkoo nunua nguo bei ya jumla either za kike haswa zile tight au jeans au tshirts zao.

Tshirt kali unisex.. Either uza mtandaoni au whatsapp status au hata humu JF fungua thread yako. Tutakusupoti. Ina faida sana biashara ya nguo.
Hizo nguo zote zina range from 10,000 mpaka 15,000
Na faida ni 5,000 mpaka 10,000 kwa nguo moja.
 
Neda karume asubuhi kachaguwe tisheti utauziwa bei ya jumla sh 700 utapeleka kwa fundi azimodoe kila tisheti fundi anakula sh300 jumla sh 1000.Ingia road sasa bei ya kuanzia ni sh 3000 ili mteja adondokee kwenye sh 2000.Hapo ni shilingi inazaa shilingi.Ukimkuta mtu kakaa we unachukuwa flana unamrushia tu afu unasema bro nipe buku tatu kazi ya maana hiyo.
 
Back
Top Bottom