Kwanini namba 08 unapinga??Vipi kuhusu spea za magari, pikipiki na bajaj?
Namba 8 nakupinga.
Vp kuhusu mtaji na location na uzoefuBiashara 15 ambazo zinalipa kwa sasa.
1. Kupika kwa oda
2. Urembo(kusuka,makeup,kucha)
3. Kilimo cha mbogamboga
4. Kupiga picha (wazee wa Location)
5. Kupanga sherehe/Matukio(Event planning)
6. Kutembeza watalii
7. Ushonaji nguo
8. Kufundisha (Tuition)
9. Biashara ya saluni ya kiume
10. Kuuza miti ya maua
11. Kufulia watu nguo majumbani.(watu wako busy mno)
12. Famasia na madawa
13. Vifaa vya ujenzi
14. Vifaa ya Uani(toilet paper, diaper za watoto,dawa za chooni)
15.vifaa vya Elektroniki.
Uko sahihi. Biashara zote zinalipa! Na ukiona umeanzisha biashara, halafu hailipi, basi ujue kuna tatizo sehemu.hakuna biashara ambayo hailipi
I meant namba 9, sorry!Kwanini namba 08 unapinga??
Ooh sawa!!I meant namba 9, sorry!
Karibu Nina kuku ukihitajiNapika Kwa oda jamani karibuni wapendwa.
Bei ikoje na wapatikana wapiNapika Kwa oda jamani karibuni wapendwa.
Napatikana kimara mkuu! Bei inategemea unataka chakula gani.ila kuanzia 2000 unakula.Bei ikoje na wapatikana wapi
Vipi kuhusu spea za magari, pikipiki na bajaj?
Namba 8 nakupinga.
Nipo bonyokwa...niletee wali nyama chap Kabla ya saa 7Napatikana kimara mkuu! Bei inategemea unataka chakula gani.ila kuanzia 2000 unakula.
Nchi Gani hiyo?Hivi unajua watu wanafundishwa kwa saa dollar 20 unalijua hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado wengine wanalipwa kwa wiki laki na ana fundisha nyumba hata 4 kwa wiki