Bia ya safari iitwe safari dar beer. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bia ya safari iitwe safari dar beer.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ipogolo, Oct 21, 2011.

 1. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,053
  Likes Received: 2,933
  Trophy Points: 280
  kwa wanywaji wa beer wanaijua beer ya WINDHOEK. Kinywaji hiki kinautangaza mji mkuu wa nchi ya Namibia unaoitwa Windhoek. vipi Tanzania Breweries (TBL) wasiutangaze mji wa Dar es salaam kwa kuiiita beer ya Safari kwa jina la SAFARI DAR BEER?
   
Loading...