Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kutoka na Maji ghafi ya mikoa ya kasikazini kuwa na madini mengi sana kufanya yawe alkaline zaidi, process ya kushusha PH value kuyafanya yakidhi viwango vya kimataifa ya kutengeneza soda na bia, Maji haya yanaongezwa kemikali nyingi sana na kufanya bia na soda za kanda ya kasikazini kuwa na kemikali nyingi sana, hivo kufanya watu kunywa kemikali nyingi zaidi kuliko mikoa ya pwani kanda ya ziwa ambayo maji yake ni acidic water, process ya kupadisha PH value ni rahisi sana kuliko kushusha PH value. Kwa hiyo watu wa kanda ya kasikazini wanaokunywa bia ama soda, wanashauliwa kunywa maji mengi kupunguza hizi kemikali mwilini.
Ni hayo tu kwa leo.
Ni hayo tu kwa leo.