Bhoke wa Big Brother! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bhoke wa Big Brother!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by SirBonge, Dec 15, 2011.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Jamani hivi kale kadada kaliowatia aibu dada zetu wa kibongo kwa kutingisha viguu badala ya mauno kule Big brother kako wapi siku hizi?? Naona kametemwa EATV lakini si vibaya tukijua kalipo kanaweza pata ajira mbadala kwani tushajua fani yake anayoiweza zaidi:poa
   
 2. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  acha ku assume kijana..we umeona wappi kua katemwa?? Bhoke yupo EATV na last month alikua ana host kipindi Nairobi..umbea tupunguze jaman..aliekwambia EATV wamemtema nani??
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi huyu naye ni wa kupoteza muda kumjadili?hivi jamani mbona tuna mambo mengi ya muhimu kujadili?huyu kwanza si alisema hakwenda kuiwakilisha nchi alienda kwa mambo yake tu ya kupigwa brash au...
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Haya haya JF is never boring!!!
  Jamaa alikuwa anachimba ki aina!
  Ngoja wadau watupe data za ki-kuda!
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  That was a self defence statement. I do not remember if there was nomation for individuals......
   
Loading...